Uwezo wa Shilole kwenye muziki wa Hip-hop

Uwezo wa Shilole kwenye muziki wa Hip-hop

Mwanamuziki wa #BongoFleva Shilole anadai kuwa anaweza kuchana huku akikumbushia wimbo wake ambao alimshirikisha msanii mkongwe Chidi Beenz uliyotoka miaka minne iliyopita ‘Champion’, ambapo ndani wimbo huo, Shilole alichana mistari ya Hip-hop mwanzo mwisho akiwa na mkali Chidi.

Shilole amewakumbusha mashabiki kwenye wimbo huo kuwa anauwezo wa kuchana lakini ni vile tu mashabiki hawajataka kumzingatia .

 

Shilole ameandika, “Oyaa wanangu eeh mi nachana sana ujue hamjanizingatia tu”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags