Utafiti: Wanawake walio single wanamiliki nyumba kuliko Wanaume

Utafiti: Wanawake walio single wanamiliki nyumba kuliko Wanaume

Utafiti uliofanywa na PEW Research Centre, nchini Marekani unaonesha kuwa wanawake wasio na wanaume (Single) nchini humo wanamiliki idadi kubwa zaidi ya nyumba ikilinganishwa na wanaume wasio na wanawake.

Utafiti unaonesha wanawake 'singo' wanamiliki 58% ya nyumba, huku wanaume 'singo' wakimiliki 42%.

Licha ya idadi ya wanawake hao kuwa kubwa lakini inatajwa kupungua kwani mwaka 2000 walimiliki nyumba kwa 64% ikilinganishwa na 36% ya wanaume.

Kwa unavyoona Bongo hali ipoje?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags