Unai Emery ndio kocha mpya wa Aston Villa

Unai Emery ndio kocha mpya wa Aston Villa


Aisee!!Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard.

Aidha Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mosi, 2022 mara baada ya kukamilisha taratibu za vibali vya kazi, kwa sasa timu itaendelea kuwa chini ya kocha wa muda Aaron Danks

Sambamba na hayo Aston Villa imelipa Paundi Milioni 5.2 (Tsh. Bilioni 13.6) ili kuvunja mkataba wa kocha huyo katika Klabu ya Villarreal.

Ebwana eeeeh!! Unauonaje ujio wa kocha huyo mpya wa Aston Villa?dondosha ujumbe wako hapo chini.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags