Ujumbe wa Ruby kwa  Kusah

Ujumbe wa Ruby kwa Kusah

Unaambiwa sio poa bwana ambapo Msanii Ruby ameandika ujumbe mzito ukimuhusisha mzazi mwenziye Kusah ambaye inaonekana huenda kukawa hakuna mawasiliano mazuri kati yao.

Ruby ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno haya.

''Usinichokonoe
Na wala usidhani labda nakutaka ningekutaka ningemtumia mtoto kukupata nalea mwenyewe yes sio rahisi lakini nimeweza kwa mkono wa Mungu bila ya ww !!!Pia siwezi kutaka kua na ww kamwe Nilikuacha kwa upuuzi mwingi tu ila ukaona haiwezekani unipiiiiigeeee weeeee umalize hasira za kuachwa

Nilikaa kimnya kwa miaka miwili (2) unadhan ningeshindwa kuendelea kukaa kimnya but Unanichokonoa mwenyewe now let me speak the truth maana ukweli unamueka mtu huru

Nilipoonaga chale kwenye mwili wako kwa mara ya kwanza nilikimbia na kushangaa nikakuuliza kwann unachale ukanijibu nikushangae ww unaishije  kumbe ww ndo maisha yako well we differ my friend ....wanawake tunapitiaga mengi hatuongei ila kila mtu anasize ya kiatuchake cha mapito.

Kwa mapito uliyonipitisha kweli ningekua chizi ila Mungu anampango na mm ndo mana leo unaniona mzima unalazimisha uchizi uliotaka niupate umefeli na ushahindwa

Na mm sina ustar wala siangalii ustar et brand ,brand my foot mm brand yangu iko mbinguni not here kwanza katika kitu sipendi ni umaarufu sema tu Mungu alichoeka ndani yangu nikikubwa hakizuiliki kuonekana na kujulikana but mimi huko sio sehemu yangu ninayo deserve kua !uliza nilipotoka ndo utajua umaurufu wa insta is nothing kwanza kwenye umaarufu kuna Upuuzi kibao mm niung’ang’anie FOR WHAT?'' ameandika Ruby.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags