Trey Songz akabiliwa na kesi ya unyanyasaji

Trey Songz akabiliwa na kesi ya unyanyasaji

Aisee unaambiwa mambo si mambo bwana ambapo Msanii kutoaka nchini Marekani TreySongz anakabiliwa  na kesi ya Unyanyasaji wa Kingono ambayo itamgharimu Dola za kimarekani milioni 20.

Kwa mujibu wa Tmz inasema dada huyo alikubaliana Kufanya Mapenzi na Msanii huyo lakini baadae iligeuka na kuwa ubakaji baada ya Trey Kumuingilia kinyume na Maumbile kitu ambacho hakikua moja ya Makubaliano yao.

Mwanadada Huyo Kwa Sasa Anataka Fidia Ya Pesa Hizo Na Wakili Wa Mwanamke Huyo Pia Anawakilisha Wanawake Wawili Wanaomshtaki Trey  Kwa Madai Ya Unyanyasaji Wa Kijinsia.


Trey  amekanusha madai hayo.."Madai katika Malalamiko hayo ni ya Uongo'' na ameahidi kutoa ukweli wake uliokamilika, mwakilishi wa Trey aliiambia Tmz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags