Travis Scott& Kylie wabarikiwa mtoto wa kiume

Travis Scott& Kylie wabarikiwa mtoto wa kiume

Huko mitandaoni unaambiwa ni pongezi zimetawala ambazo zimepelekwa kwa msanii Travis Scott na mpenzi wake Kylie Jenner ambao wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume.

Wawili hao wamebarikiwa kupata mtoto wao huyo wa pli pamoja ambaye amezaliwa 2/2/2022.

Baada ya kuweka azi kuwa wamepata mtoto huyo salamu za pongezi zimemiminika kutoka kwa mashabiki wao ambao wameonekana kufurahishwa na kitendo hicho.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags