Tracy aondoka na taji la Miss Tanzania 2023

Tracy aondoka na taji la Miss Tanzania 2023

Hatimaye kati ya warembo 20 waliokuwa wakishindania Taji la Miss Tanzania, mrembo Tracy Nabukera, ameibuka kidedea kwa kuondoka na taji hilo, ambalo alivalishwa na aliyekuwa Miss Tanzania 2022, Halima Kopwe usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.

Mrembo huyo ambaye amekuwa mshindi wa kwanza ameondoka na zawadi mbalimbali ikiwemo, gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya shilingi milioni 30 na kitita cha milioni 10. Huku Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Pindi Chana akiwa Mgeni rasmi katika hafla hiyo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags