Tottenham yatemana na kocha Antonio Conte

Tottenham yatemana na kocha Antonio Conte

Baada ya tetesi kadhaa kupitia mitandao ya kijamii, hatimaye pande zote mbili zimeafikiana kuvunja mkataba na kocha mkuu Antonio Conte, na timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda, Cristian Stellini.  

Kwa maamuzi hayo klabu ya Tottenham, inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili.

Inasemekana kuwa Antonio Conte hakuwa na uhusiano mzuri na wachezaji wake na uongozi wa klabu kutokana na kuwashutumu akidai hawajitumi uwanjani na kuelezea sababu kadhaa kwanini timu haitwai mataji ya ubingwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags