Teni aeleza sababu ya kupungua uzito

Teni aeleza sababu ya kupungua uzito

Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Teni, kuwa amefanya surgery ya kupunguza tumbo, mwanadada huyo amekanusha uvumi huo kwa kueleza kuwa amepungua uzito kutokana na mlo kamili na kufanya mazoezi.

Kufuatia na mahojiano yake ya hivi karibuni amedai kuwa kitu kilichomfanya apungue uzito ni kufuata mlo kamili, kufanya mazoezi. Huku sababu nyingine akidai kuwa ni albumu yake aliyoitoa hivi karibuni ya #TearsOfTheSun pia imechangia yeye kupungua uzito wa mwili.

Aidha sababu kuu ya kumfanya Teni kupunguza uzito ni kuwa na viashiri vya Covid 19 mara tatu ikiwa ni mwaka 2020, 2021 na 2022.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post