Tems kuibukia kwenye uigizaji

Tems kuibukia kwenye uigizaji

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Tems ameweka wazi kuwa kwa siku za hivi karibuni ataingia katika #uigizaji.

Kufuatia mahojiano yake hivi karibuni na #BBC Capital Xtra #London, ameweka wazi kuwa sio tuu kuimba hata kwenye uigizaji yuko vizuri huku akieleza kuwa anatamani kuigiza nafasi ya jambazi.

“Niko tayari kuigiza sinema, ila siko tayari kwa sasa lakini niko vizuri katika kuigiza na uhusika ninao tamani kuucheza ni mama asiye na mume na mwenye maneno mengi na mafumbo au jambazi”

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags