Tanzania, kenya na uganda kuandaa AFCON 2027

Tanzania, kenya na uganda kuandaa AFCON 2027

Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027.

Kamati ya Utendaji CAF imetangaza uamuzi huo leo nchini Misri, na itakuwa ni mara ya kwanza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuandaa michuano hiyo ya soka Afrika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags