Tanasha Donna na Mama Dangote mambo ni moto

Tanasha Donna na Mama Dangote mambo ni moto

Tanasha Donna, ambaye ni mzazi mwenzie Diamond, amedhihirisha kuwa hana ubaya na mama mzazi wa msanii huyo baada ya kutuma zawadi za birthday kwa mama Dangote.

Katika zawadi hizo Tanasha alimtumia Mama Dangote maua yaliyonakshiwa na ‘dola’ za kimarekani na vitu vingine.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mama Dangote amefurahishwa na kitendo alichokifanya Tanasha ambapo ame-share video iliyoambatana na ujumbe wa shukrani kwa kueleza kuwa ametoka site na kukutana na surprise ya zawadi ya birthday kutoka kwa Tanasha Donna.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags