Taarifa ya wanawake wanaofariki wakiongeza makalio yamuibua Muna

Taarifa ya wanawake wanaofariki wakiongeza makalio yamuibua Muna

Mfanyabiashara #MunaLove amedai kuwa mtu akienda kupata huduma ya upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio kuna taarifa ambazo madaktari huwa hawamwambii mteja hadi wakimaliza kumpatia huduna hiyo.

Muna ameeleza hayo kufuatia taarifa iliyotolewa na BBC kuhusiana na vifo vinavyotokana na upasuaji wa kuongeza makalio kuongezea Uturuki.

Mwanadada huyo amedai kuna kitu ambacho madaktari huwa hawasemi hadi mgonjwa atakapoamka na hata mteja akiambiwa kwa wakati huo anakuwa hana cha kufanya.

Muna ameandika,

"Na kuna kitu madaktari hawakuambii mpaka ukiamka. Na ukiambiwa huna lakufanya naogopa ila kuna siku nitasema na ushahidi". Muna ni kati ya wanawake wanaodaiwa kufanya upasuaji wa kuongeza makalio






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags