Sugu: Pesa ikiwepo inaleta raha kwenye mapenzi

Sugu: Pesa ikiwepo inaleta raha kwenye mapenzi

Mmmmmmh! Waswahili wana kamsemo kao kanasema kuwa 'usiseme hatuna hela, sema mimi sina hela,' basi bwanamwanasiasa na mwimbaji mkongwe, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, amedondosha ujumbe kuntu ukiwa unaashiria yupo katika mahaba mazito.

Ujumbe huo ukiwa umeambatanisha na video akiwa na mke wake wanacheza muziki na kuandika kuwa, “Ni kweli money can't buy u love But mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu Fred Vunjabei atakubaliana na mimi.”

Uuuuwiiiih! Haya haya mkuje hapa. Je ni kweli pesa ikiwepo mapenzi yanakuwa mubashara zaidi? Embu fanya kama unakomenti hapo chini tujue wewe uko upande gani katika hili.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags