Stamina: Amapiano inatosha kwa Chino, Abadilishe vibe

Stamina: Amapiano inatosha kwa Chino, Abadilishe vibe

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Stamina ameweka wazi ujio wa ngoma mpya ambayo ameshirikishwa na mkali wa Amapiano Chino huku akileza kuwa kwa sasa Chino inabidi abadilishe vibe ili mashabiki wajue kuwa yuko kote sio kwenye Amapiano tu.

Kupitia Instagram ya Stamina ame-share video akiwa na Chino iliyoambatana na ujumbe usemao,

“Mmemuimbisha sana Amapiano huyu kijana Chino inatosha sasa, kakutana na mbishi kutoka morogoro nimembadilisha kabisa uelekeo, kiufupi ame-change vibe.

Haya sasa kaa tayari kwa ngoma mpya ya Chino akiwa amenishirikisha Shorwebwenzi”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags