Shule yafungwa kwa muda baada ya walimu kulawiti watoto wa kiume Kenya

Shule yafungwa kwa muda baada ya walimu kulawiti watoto wa kiume Kenya

Duuuuuuu! Dunia simama nishuke mana naona kama nishafika, kila siku majanga juu ya majanga yani, Shule ya Mosoriot katika Kaunti ya Bomet nchini Kenya imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya kubainika kuwa Mwalimu wa Shule hiyo, Bernard Kirui aliwaingilia kinyume na maumbile Watoto watatu wa kiume wenye umri wa miaka 11 hadi 13.

Ilibainika kuwa Mwalimu alikuwa akilala katika bweni la Wavulana licha ya kuwa na chumba alichotengewa na shule hiyo, Wanafunzi hao wanapatiwa matibabu na ushauri nasaha huku mtuhumiwa akishikiliwa na Polisi.

Wadau na wafuayiliaji wa Mwananchi Scoop dondosha komenti yako hapo chini nini kifanyike ili kukomesha ukatili huu unaoendelea kila kukicha.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags