Saraphina kuachia ngoma mpya

Saraphina kuachia ngoma mpya

Na Janeth Jovin

Yap yap! bwana ni wasaa wako sasa kama shabiki bwana tegemea kukutana na wimbo mpya kutoka kwa msanii Saraphina siku ya leo.

 Kupitia instagram yake ametoa taarifa hiyo na kuandika maneno haya NEW SOUND Please SUBSCRIBE to my youtube channel , link on my bio wamerudiana” 

Ebwana unaweza kutuambia kupitia website yetu www.mwananchi scoop.co.tz je ni ngoma gani unaikubali kutoka kwake?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags