Samatta afungua ‘Akaunti’ ya mabao

Samatta afungua ‘Akaunti’ ya mabao

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paok Fc na nahodha wa ‘timu’ ya taifa Tanzania Mbwana Samatta amefungua ‘akaunti’ yake ya mabao akiwa na ‘timu’ hiyo kutoka nchini Ugiriki kwa kufunga bao moja katika mchezo wao dhidi ya Volos.

‘Mechi’ hiyo iliyochezwa usiku wa kuamkia leo ambapo kufuatia bao hilo limefanya ‘timu’ yake iondoke na ushindi wa bao 3-0.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Samatta amefurahi kwa kufungua akaunti yake ya mabao kwa kuandika, “alama tatu muhimu na bao langu la kwanza kwa ‘timu’”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags