Ruto: Uhuru Kenyatta aliharibu uchumi wa Kenya

Ruto: Uhuru Kenyatta aliharibu uchumi wa Kenya

Rais wa Kenya amemshutumu Mtangulizi wake,Uhuru Kenyatta  kwa kusababisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama uliopelekea ahitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya kumalizia Mabwawa na Miradi mingine ambayo ilisitishwa kwasababu za Kisiasa

Amesema, “Wapinzani wetu waliiharibu Nchi hii na sasa watupe nafasi ya kurekebisha fujo zao. Walikuwa na Miaka Mitano ambayo walitumia kuharibu kila kitu Nchini: Walituacha na Uchumi duni, Nchi iliyojaa Madeni, Usalama uliodorora, Jeshi la Polisi kuwaua Watu badala ya kuwalinda”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags