Ruby zamu ya Jela

Ruby zamu ya Jela

Kumekucha tenaa, ebwana eeeh!! Mambo yametaradadi kinoumaa Tegemea Wimbo Mpya # Jela Kutoka Kwa Msanii wa bongo fleva Ruby Siku Za Hivi Karibuni.


Unaambiwa hii inakuja Baada ya kupost kaatika ukurasa wake wa Instagram cover ya Wimbo huo ambao bado hajaweka wazi ni lini goma hilo litatoka rasmi.

Tuambie kupitia website yetu www.mwanchi scoop.co.tz vipi ngoma hiyo itapamba au tuskilizie kwanzaaa






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags