Rose Ndauka, sifanyi muziki kwa njaa

Rose Ndauka, sifanyi muziki kwa njaa

Ahh!! Weweee!! Star wa Filamu nchini Tanzania Rose Ndauka ambaye pia anafanya Muziki wa Hip Hop amesema kuwa yeye hafanyi Muziki wake kwa Njaaa.

Akitoa sababu ya kuzungumza kauli hiyo Ndauka amesema kuwa yeye Anamkwanja mrefu (pesa) ikiwa na Kampuni ambayo ameajiri zaidi ya watu 19.

Rose Ndauka amethibitisha hilo wakati akifanyiwa mahojiano na chombo cha Habari.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags