Ronaldo: Tangu Ferguson aondoke maendeleo United sifuri

Ronaldo: Tangu Ferguson aondoke maendeleo United sifuri

Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).

Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Man United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka Ronaldo aondoke

Aidha, ameishutumu klabu hiyo kwa kutokuwa na mipango mikakati ya kimaendeleo tangu kuondoka kwa Alex Ferguson akidai kuwa vitu vimebaki kuwa vilevile. Inadaiwa kauli zake hizo zimewasikitisha Wachezaji wa United huku klabu ikiwa haijatoa tamko lolote.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags