Romyjons:  Diamond anamaisha ya watu wengi nyuma yake

Romyjons: Diamond anamaisha ya watu wengi nyuma yake

Kaka wa nyota wa muziki nchini #Romyjons, ameendelea kuonesha upendo kwa dua zake dhidi ya #Diamond, kwa kumuombea maisha marefu.

Kwenye dua hizo #Romy ameomba Mungu kumbariki na kumlinda #Diamond, kwani ana maisha ya watu wengi nyuma yake ambao wanamtegemea .

Post hiyo ya #Romy imekuja mara baada tukio la msanii huyo kunusulika kifo kwenye lifti akiwa na wasanii wengine.

Romyjons kupitia #Instagram yake ameandika,

“Ya Allah keep protecting, blessing this kid

Ana maisha ya watu wengi sana nyuma yake tunaomtegemea, I love you bro”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags