Rick Ross ampokea Messi kwa mikono miwili jijini Miami

Rick Ross ampokea Messi kwa mikono miwili jijini Miami

Msanii wa #HipHop nchini Marekani, Rick Ross amkaribisha mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Lionel Messi Jijini Miami, ambapo alitambulishwa hivi karibuni na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka nchini humo (MSL).

Rick kupitia video na picha alizo-post akiwa mbele ya bango lenye picha za Messi, alijirekodi akisema anamkaribisha mchezaji huyo Miami.

Messi alikuwa akiitumikia ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain ya nchini Ufaransa kwa misimu miwili, alitia saini mkataba wa kuichezea Inter Miami hadi msimu wa mwaka 2025.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags