Rema, Wizkid na Diamond waambulia patupu Grammy

Rema, Wizkid na Diamond waambulia patupu Grammy

Baada ya kufanya vizuri kupitia ngoma zao mbalimbali lakini wakali hao kutoka #Afrika, ambao ni #Diamond, #Rema na #Wizkid wameambulia patupu katika kuwania Tuzo za #Grammy 2024 zinazotarajiwa kutolewa Februari mwakani nchini #Marekani. 

Kufuatia na orodha ya majina iliyoachiliwa jana ya nani atawania tuzo hizo wanamuziki hao majina yao yakiwa hayapo kabisa katika kuwania kipengele chochote kile.

 Ambapo kwa Afrika mkali wa #Afrobeat #BurnaBoy ameweka historia kwa msanii aliyetajwa mara nyingi katika kuwania tuzo hizo, ambapo alitajwa mara nne akifuatiwa na #Davido akitajwa mara tatu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags