Rema siyo mchoyo awapa shavu, Burna Boy, Wizkid, Fela Kuti, Davido

Rema siyo mchoyo awapa shavu, Burna Boy, Wizkid, Fela Kuti, Davido

Baada ya wimbo wa Calm Down Remix kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats nyota wa muziki kutoka Nigeria Rema atoa shukrani kwa waliyo mfungulia mlango kwenye muziki huo.

Kati ya watu ambao Rema amewashukuru ni muanzilishi wa Afro Beat Fela Kuti, Davido, Wizkid, Don Jazzy, Timaya, Two Face, na Burna Boy.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags