Rema awatamani Nicki Minaj, na Megan Thee Stallion

Rema awatamani Nicki Minaj, na Megan Thee Stallion

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Rema, ameweka wazi kuwa matamanio yake kwa sasa ni kufanya ‘kolabo’ na rapper Nicki Minaj & Megan Thee Stallion.

Rema ameyasema hayo katika mahojiano yake wakati wa usiku wa tuzo za MTV ameeleza kuwa kwa sasa anatamani kufanya kazi na wasanii maarufu wa kike na tayari amepanga kukutana na ‘marapa’ hao.

Kauli yake hiyo baadhi ya mshabiki wamekuwa wakitafsiri huenda inasababishwa na kuona ngoma aliyofanya na Selena Gomez kupata mafanikio zaidi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags