Rayvanny akutana na Davido S.A

Rayvanny akutana na Davido S.A

Akiwa katika muendelezo wa ziara yake katika nchi mbalimbali mwanamuziki Rayvanny akiwa nchini South Africa amekutana na mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ambapo wote wanatajwa kuwa nchini humo kikazi.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Chui ame-share video akiwa kwenye mazungumzo na Davido ambapo pia walifanikiwa kubadirishana namba.

Hata hivyo huenda wawili hao wakawa wanatarajia kutoa ‘kolabo’ hii ni baada ya meneja wa Rayvanny, Ukboy kushare picha ya studio na kuandika ‘hatutacheza mimi na Davido’.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post