Rais Biden  kuchunguzwa kwa kukutwa na nyaraka za siri

Rais Biden kuchunguzwa kwa kukutwa na nyaraka za siri

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Merrick Garland amemteua Mchunguzi maalumu kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya Rais Biden yaliyoko Wilmington,Delaware.

Aidha, atachunguza tukio la awali la kukutwa kwa nyaraka kama hizo za siri katika ofisi ya Rais Joe isiyokuwa na ulinzi iliyoko mjini Washington.

Hata hivyo Nyaraka hizo zinasadikika zilikuwepo kwenye ofisi hiyo tangu Biden alipokuwa Makamu wa Rais.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post