R Kelly na mchumba wake wapata mtoto

R Kelly na mchumba wake wapata mtoto

Msanii maarufu nchini Marekani R Kelly na mchumba wake Joycelyn Savage wameripotiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja. Mtoto huyo wa kike waliempatia jina la Ava Lee Kelly, aliyetungwa kwa njia ya IVF. 

IVF ni moja ya mbinu kadhaa zinazopatikana kusaidia watu wenye matatizo ya uzazi ya kutokushika ujauzito ambapo yai hutolewa kutoka kwenye ovari ya mwanamke na kurutubishwa na manii kwenye maabara. Yai lililorutubishwa, linaloitwa kiinitete, kisha hurudishwa kwenye tumbo la uzazi la mwanamke.

Aloooooh! All in all Mwenyezi Mungu awakuzie binti yako maana sio jambo dogo kubahatika kupata mtoto.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags