Professor Jay amshukuru Kikwete kwa msaada

Professor Jay amshukuru Kikwete kwa msaada

Msanii mkongwe nchini Professor Jay amtembelea Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshukuru kwa kumsaidia katika kipindi chake cha matibabu.

Professor Jay kupitia ukurasa wake wa Instagram amshusha ujumbe akieleza kuwa mungu ni mwema kukutana na Rais msataafu na kumpa shukrani za pekee kwani alimuokoa zaidi ya mara tatu wakati akiwa hoi kipindi amelazwa katika hospitali ya Muhimbili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags