Prof. Jay: Ni muda wa bomu lingine

Prof. Jay: Ni muda wa bomu lingine

Msanii wa muziki wa hip hop hapa nchini, uwenda akaachia ngoma mpya kabvla yam waka huu kuisha.

Hiyo inakuja baada ya Prof. Jay kuposti  katika ukurasa wake wa Instargram na kuandika ujumbe ambao umewafanya mashabiki waamini kuwa ngoma mpya hiv karibuni.

Kupitia Instagram yette ameandika “Naona huu ni muda sahihi wa kuangusha bomu jingine au mnasemaje wadau,” ameandika






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags