polisi kuchunguza kifo cha anayedaiwa kujinyonga baada ya harusi yake

polisi kuchunguza kifo cha anayedaiwa kujinyonga baada ya harusi yake

Kutoka Mkoani Mwanza ambapo Kamanda Wilbroad Mutafungwa amesema licha ya kukuta ujumbe wa kujinyonga kwa Bwana Harusi Swadika Abasi, Jeshi la Polisi limeanza upelelezi kubaini sababu ya kifo hicho

Tukio hilo limetokea Desemba 17 Mtaa wa Nzenze Kata ya Kiseke, Ilemela ambapo imeelezwa baada ya kufunga Ndoa, Bwana Harusi hakuonekana Ukumbini hadi saa 5:45 usiku alipokutwa amening'inia kwenye Paa la Nyumba yake

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags