Picha ya Kikwete inayotrend- mitandaoni

Picha ya Kikwete inayotrend- mitandaoni

Kuanzia jana jioni hadi leo kumekuwa na picha inayotrend mitandaoni na si nyingine ni ya Rais Mstaafu wa Tanzania awamu nne Dk. Jakaya Kikwete.

Picha hiyo inamuonesha Rais Mstaafu Kikwete akiwa kwenye mazoezi pamoja na Mbunge wa Nigeria waliokuwa wote kwenye Team ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Nchini Zambia.

Itakumbukwa kuwa Rais Mstaafu Dk. Kikwete ndiye aliyeongoza Jopo la Waangalizi wa Uchaguzi huo kutoka Jumuiya ya Madola-Commonwealth.

Picha hiyo inayomuonesha akifanya mazoezi imeonekana kupendwa na watu wengi katika mitandao ya kijamii huku wengine wakijijibu maswali kuwa mwanasiasa huyo naye amekuwa akiimarisha mwili wake kwa kufanya mazoezi.

Najua na wewe kijana wenzangu kupitia picha hiyo lipo ulilojifunza bassi usisite kutuandika hicho ulichojifunza katika comment

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags