Phina: Muziki haujawahi kuwa rahisi kwa mtoto wa kike

Phina: Muziki haujawahi kuwa rahisi kwa mtoto wa kike

Akiwa katika interview na mmoja ya chombo cha habari mwanamuziki #Phina ametoa yamoyoni akidai kuwa muziki haujawahi kuwa salama na rahisi kwa mtoto wa kike.

Aidha Mwanamziki huyo ameeleza kuwa mambo ni mengi yanayoendelea katika tasnia ya sanaa ya muziki haujawahi kuwa rahisi kwa mtoto wakike kwani wao ni maua, lazima wafatiliwe na wadudu akimaanisha kusumbuliwa na wanaume kimapenzi ni kawaida.

Pia alisema kwamba kiuhalisia changamoto lazima ziwepo ukiwa unatafuta mafanikio katika kile unacho kipambania.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags