Paula Kajala: Ujauzito si kitu

Paula Kajala: Ujauzito si kitu

Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Paula Kajala ameweka wazi kuwa mjamzito si kitu, bali hisia bora ni pale unapokabidhiwa mtoto wako na Nesi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Paula ame-share ujumbe huo uliyokuwa ukieleza…

“Kuwa Mjamzito si kitu, hisia bora zaidi ni wakati Nesi anamuweka mtoto wako kwenye kifua chako, ambapo mama na mtoto wanaungana, pale unapomuona mtu ambaye umembeba kwa muda wa miezi 9 ndipo unapogundua kuwa wewe ni mama wa mtu”

Paula na mpenzi wake Marioo walitangaza ujio wa mtoto wao wa kike aitwaye Amarah siku chache zilizopita.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags