Paula Kajala: Mapenzi matamu hadi kwenu

Paula Kajala: Mapenzi matamu hadi kwenu

Kama ilivyo kawaida kwa Paula ambaye ni mtoto wa muigizaji maarufu nchini, kushinda kuzuia hisia zake akiwa kwenye mahusiano, ameendelea kuonesha upendo wake juu Marioo.

Paula ametupa swali la kizushi kupitia ukurasa wake wa #Instagram baada ya ku-post picha akiwa na Marioo na kuisindikiza kwa swali, P ameuliza ,
“Kwani mapenzi ni matamu hadi kwenu au kwangu tu? Mbona mwenzenu yananizidia”

Baada ya post hiyo ya Paula, Marioo naye hakukaa kimya na kuamua kuzungumza na wanaosema penzi lao litakufa.
Marioo ameuliza,
“Kwa hiyo ndiyo mmesema tunaachana lini vile..!!?”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags