Otile Brown awatolea uvivu Diamond na Mbosso

Otile Brown awatolea uvivu Diamond na Mbosso

Imepita siku moja tu tangu wasanii wa Bongo Fleva nchini Diamond na Mbosso kutikisa mitandao ya kijamii baada ya kununu cheni za dhahabu original huku wakitupa mawe gizani kwa wanaovaa mabati.

Kutokana na hayo msanii kutoka nchini Kenya Otile Brown hakulikalia kimya mapema leo kupitia InstaStory yake amewatolea uvivu wawili hao kwa kuhoji wamenunua ‘cheni’ kwa nani maana wauzaji cheni wanaotambulika duniani wanajulikana, na kutaja majina yao yote.

Aidha msanii huyo pia amewasihi baadhi ya wasani waache kutamba mitandaoni wakati ‘cheni’ wanazotamba nazo ni ‘feki’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags