Ombaomba bandia wakamatwa, Kenya

Ombaomba bandia wakamatwa, Kenya

Mwanamke mmoja kutoka Kenya amewalaghai watu akijifanya mlemavu na kuombaomba katika mji wa Malindi.

Ujanja wa mwanamke huyo ulifichuliwa na mvulana mdogo aliyemtaja na ombaomba wengine kadhaa bandia ambao wamekuwa wakiwatapeli watu pesa zao.

Hii ni baada ya msako mkali wa ombaomba bandia katika mji huo, huku wengine wakitoka nchini Tanzania, ambapo wanapelekwa nchini humo na mawakala wasiojulikana na kujifanya walemavu.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post