Nyota wa General Hospital afariki dunia

Nyota wa General Hospital afariki dunia

Muigizaji kutoka nchini Marekani mwenye umri wa miaka 50 Tyler Christopher amefariki dunia kwa mshituko wa moyo nyumbani kwake San Diego siku ya jana Jumanne.

Inaelezwa kuwa nyota huyo wa filamu ya ‘General Hospital’ aliwahi kuwa mtetezi wa afya ya akili na matibabu ya matumizi ya madawa za kulevya, alipambana na kuzungumzia kuhusiana na bipolar na unywaji wa pombe.

Muigizaji huyo pia aliwahi kuonekana katika filamu mbalimbali kama Stefan DiMera, Nikolas Cassadine, Connor Bishop.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags