Ntibanzokiza kuikosa Namungo leo

Ntibanzokiza kuikosa Namungo leo

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Namungo utaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa kutokana na majeraha.

Akizungumza na waandishi wa habari kocha Kaze amesema kwamba  Saido hawezi kuwa sehemu ya kikosi hicho lakini anamini urejeo wa viungo waliokuwa majeruhi kama Khalid Aucho na Feisal Salum ‘Fei Toto’ tayari watasaidia timu katika mchezo huo.

''Tunatambua ni mchezo mgumu lakini tumejipanga kuondoka na alama tatu ili kujiweka katika mazingira kabla ya kuwavaa watani zetu Simba wiki ijayo'' amesema Kaze.

Aiseee ukiwa kama shabiki wa timu hiyo je unamaono gani juu ya hili? Unaweza kudondosha comment yako hapo chini kupitia www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags