Nikkiwapili: mahusiano na Mungu

Nikkiwapili: mahusiano na Mungu

Hii hapa bwana kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikkiwapili ameandika........ ujumbe huu hapa ambao ametaka kushare na wengine je anasemaje?

''Jenga mahusiano yako na Mungu, dumisha upendo na familia yako, tunza marafiki wako wachache wa ukweli, simika upendo na mpenzi wako- hizi ni silaha au Jeshi litakalo kusaidia na kukuvusha katika nyakati ngumu za maisha-kumbuka nyakati ngumu zipo kama hazipo leo basi ipo siku yake''

Yaap hivyo ndivyo alivyoianza wikiendi yake, je vipi kwa upande wako umeelewa nini kufuatia ujumbe huo?tuambie kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags