NIKKI WA PILI: Maisha ni fumbo

NIKKI WA PILI: Maisha ni fumbo

Moja ya story iliyozuwa gumzo katika mitandao ya kijamii ni kauli aliyoitoa msani wa hip hop na Mkuu wa Wilaya ya Kisaware Nikki wa Pili.

Nikki amefunguka na kusema kuwa maisha ni fumbo na hakuna awezaye kulifumbua kwa asilimia zote bali ni kwa asilimia kadhaa tu.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nikk ameandika “Wakati unapitia sana jambo flani wakati huo huo kuna kitu utakuwa unakosea, why kwa sababu maisha ni fumbo hakuna awezaye kulifumbua kwa asilimia zote bali ni kwa asilimia kadhaa tu,” amesema






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags