Obama kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post list hiyo na kuandika kuwa ndiyo nyimbo alizokuwa akipenda kuziskiliza kwa mwaka 2023.

Katika list hiyo wanamuziki kutoka Afrika wameonekana kumkosha zaidi kutokana na ngoma zao kama vile ‘Water’ ya Tyla, ‘Unavailable’ ya Davido, ‘Me & U’ ya Tems, ‘Sittin on top of the world’ kutoka kwa Burna Boy aliyomshirikisha 21 Savage, ‘Amapiano’ Asake & Olamide na nyinginezo.
Leave a Reply