Nenga afunguka njaa inafanya waimbe Amapiano

Nenga afunguka njaa inafanya waimbe Amapiano

Akiwa katika mahojiano na vyombo vya habari nchini mwanamuziki #Billnass ameeleza kuwa yeye hawashawishi wala kushauri watu kuendelea kufanya muziki wa Amapiano na hatamani watu wafanye sana Amapiano lakini wanafanya  kwa sababu ya kutafuta pesa kwani muziki huo umelenga maisha ya usiku.

Hata hivyo msanii huyo amesema kuwa hawezi kuacha  kufanya muziki wa Amapiano kwa sababu ya maokoto na akidai anafamilia kwa hiyo lazima atafute pesa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post