NEMC yazifungua baa 20 kati 89

NEMC yazifungua baa 20 kati 89

Mkurugenzi mkuu wa baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka ameeleza kuwa uamuzi wakufungua baadhi ya baa ambazo zilizo fungwa siku chache zililopita kwa kuleta kero kwenye mitaa.

Aidha baada ya kutafakari athari za kiuchumi pamoja na wahusika kukiri makosa yao kwa barua na kulipa faini amesema…

 “Waliofunguliwa tumewapa maelekezo ikiwemo kushughulikia changamoto za kelele ndani ya siku 30, tofauti na hapo wanaweza kunyang'anywa leseni kabisa."alisema mkurugenzi huyo

Ikumbukwe kuwa baadhi ya sehemu za starehe zilizofungwa ni Boarddroom, Wavuvi Camp, Warehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe, Element, Chako ni Chako, Rainbow, Gentlemen, Liquid na Soweto






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags