NASA na mpango wa kujenga reli kwenye mwezi

NASA na mpango wa kujenga reli kwenye mwezi

Wafanya utafiti wa anga kutoka Marekani The National Aeronautics and Space Administration (NASA) wametangaza mipango ya kujenga reli kwenye mwezi ifikapo mwaka 2030.

Mradi huo, uliyopewa jina la FLOAT (Flexible Levitation on a Track), umependekezwa kwa lengo la kusafirisha mizigo na binadamu kwa malipo kutoka duniani kwenda kwenye uso wa mwezi.

NASA wanaeleza kuwa reli hii inaweza kuleta mageuzi makubwa ya katika kusafirisha vifaa kwa ajili ya kutengeneza mwezi mpya na kuwafanya binadamu kupata muda mrefu wa kutalii mbinguni ambapo inakadiriwa kuwa ni miezi miwili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags