Nape Nnauye kuzindua Internet Mlima Kilimanjaro

Nape Nnauye kuzindua Internet Mlima Kilimanjaro

Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana juu ya Mlima Kilimanjaro.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri Nape ameandika kuwa  “Leo juu ya Mlima Kilimanjaro napandisha mawasiliano ya Internet yenye kasi (broadband) kwenye paa la Afrika” aliendelea kwa kuandika

“Watalii sasa wanaweza kuwasiliana duniani kote toka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, tunakwenda uhuru peak” ameandika Nape Nnauye






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags