Nandy: Mume wangu punguza mapenzi utaniua jamani

Nandy: Mume wangu punguza mapenzi utaniua jamani

Mmmmmmmh! Ukiskia mambo yametaradadi basi yametaradadi haswa, hivi ni kweli ndoa tamu kiasi hiki au wanatupiga tuingie hahhaha! Jokes tu, basi bwana mama kija wetu Nandy mrs Nenga mwenyewe ameamua kufunguka kuhusiana na mapenzi anayo yapata kwa mumewe Billnass ni fire yaani sio ya nchi hii.

Nandy ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema kua “nyie ndoa ikiwa mpya ndo mapenzi yanazidi hivi? Jamaani nimetepeta mwenzenu Billnass mume wangu punguza mapenzi jamani utaniua” ameandika Nandy

Aloooooh! Kweli dada yetu kashikwa pabaya sio kwa mineno hiyo miziti, usisahau kufuatilia mitandao yetu ya kijamii @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags