Naira atinga instagram kwa mara ya kwanza tangu aachiwe huru

Naira atinga instagram kwa mara ya kwanza tangu aachiwe huru

 

Mwanamuziki kuutoka nchini #Nigeria #NairaMarley kwa mara ya kwanza ame-post kwenye ukurasa wake wa Instagram tangu atoke mikononi mwa polisi. 

Naira alikuwa akikabiliwa na tuhuma za mauaji ya aliyekua msanii kutoka nchini humo Mohbad ambaye alifariki dunia Septemba 12, na kupelekea #Naira kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya uchunguzi. 

Mara ya mwisho Naira ali-post Septemba 26 akiwa anakanusha kuhusika na kifo cha MohBad. Kwenye post hiyo ameweka promo ya wimbo wake mpya uitwao 'Wahala'.

.

.

#mwananchiscoop

#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags